Contestant » James Martin
James Martin - BSS 2010 Season 4

James Martin - BSS 14 - DAR
Umri : 25
Dar es salaam
Mtoto wa mwisho katika familia ya Mzee Martin Kapange yenye jumla ya watoto watano, nilianza kuimba mziki toka nikiwa mdogo lakini bila wazazi wangu kujuwa, siku moja nilishinda kwenye shindano la kushindana kuimba kama Banana Zorro na ndipo Wazazi wangu waligundua kipaji changu.
Anapenda : Kucheza mchezo wa mpira wa miguu mshabiki mkubwa wa timu ya Arsenal, kuangalia sinema na kusikiliza muziki
Kupiga kura : Andika BSS 14 tuma kwenda 15378
