Contestant » Joseph Payne
Joseph Payne - BSS 2010 Season 4

Anatokea Worthington, West Sussex, Uingereza.
Ni mtoto wa Pili katika familia ya Bwana na Bibi Francis Edmund Payne inayoishi huko Uingereza, Dada yake anaishi nchini Thailand, Bangkok.
Anapenda sana muziki toka akiwa mdogo na hata wazazi wake wanapenda sana muziki hasa muziki wa Classical.
Joseph anapenda muziki wa Funk, Blues na Bongo Fleva, pia anapenda kucheza Basketball, na kusoma riwaya.
Alivutiwa na shindano la Bongo Star Search akaona aingie kushiriki.

