Contestant » Mariam Mohamed
Mariam Mohamed - BSS 2010 Season 4

Mariam Mohammed BSS 12 - DAR
Umri : 20
Dar es salaam
Tumezaliwa wanne katika familia yetu wawili wakiume na wawili wa Kike, mimi nikiwa mtoto wa kwanza kabisa katika familia, napenda kuimba sana sana taarab na navutiwa na Mzee Yusuph
Napenda : Kuimba, kusoma habari mbalimbali
Kumpigia kura : Andika BSS 12 tuma kwenda 15378

