Unazungumziaje Mchakato wa BSS 2010 Washiriki kuishi ndani ya Nyumba Mmoja??
Posted: 30 September 2010 04:04 AM   [ Ignore ]
Administrator
Rank
Total Posts:  4
Joined  2010-07-29

Kama unavyojuwa BSS 2010 imekuja kivingine kabisa, wewe ukiwa mfuatiliaji mzuri wa BSS unaonaje suala zima la washiriki kuishi ndani ya nyumba moja huku wakifwatiliwa vizuri na Majaji kupitia Kamera zilizowekwa ndani ya Nyumba hiyo?

Profile