Highlights »

image
08.11.11 | Hatimaye kile kitendawili cha Nani Mkali katika BSS Second Chance 2011 kwa taji kwenda kwa mara nyingine tena kanda ya Ziwa pale mkali wa mauno viuno Hajji Ramadhan kutangazwa mshindi.

Fainali…  more...
image
06.10.11 | TOP FOUR’s BSS Second Chance
Hatimaye Academy ya BSS Second Chance wiki hii ilijikuta ikiwa imebakiwa na washiriki wane tu mara ya Chiby Dayo kutolewa kwenye Academy kama ilivyo ada ya Mashindano.more...
image
06.10.11 | BSS Waendelea kutesa Arusha

Washiriki wa Nne wa BSS Second Chance 2011 waliendelea na ziara yao ya mikoani kwa kufanya Show Mjini Arusha Mwisho wa Wiki Hii.

Ilikuwa ni show ya…  more...
image
06.10.11 | Chibby Dayo OUT
Chibby Dayo ambaye alikuwa ni mmoja wa washiriki aliyeng’aa sana mwaka huu ametolewa kwenye mashindano baada ya kupata kura Chache.

Ilikuwa ni usiku wenye huzuni kwa…  more...
image
30.09.11 | Safari inaendelea

Washiriki wa BSS Second Chance bado wako kwenye kipindi cha kuonekana na wananchi kwa kufanya ziara sehemu tofauti za Tanzania.

Akiongea mmoja wa waratibu wa…  more...
image
30.09.11 | BSS Second Chance wapagawisha Mwanza
Ilikuwa ni siku ya furaha kwa wakazi wa Mwanza pale walipopata wasaa wa kuwaona Jukwaani washiriki wa BSS Second Chance 2011.

Ilikuwa ni moja ya…  more...
image
20.09.11 | Wananchi wasemaje Kuhusu TOP 5
Bongostars.com kama kawaida haikuwa mbali na wananchi pale viwanja vya Mwembe Yanga kuongea na Wananchi kuhusu shindano la BSS Second Chance.

Ali wa Magomeni…  more...
image
20.09.11 | Ni TOP 5 BSS Second Chance
Hatimaye shindano la BSS Second Chance wiki hii limeingia kwenye TOP 5 ambapo washiriki watano ndiyo wamefanikiwa kufikia nafasi hizo.

Washiriki waliongia…  more...