Highlight » Beatrice OUT

Beatrice OUT

Tuesday September 20, 2011 12:59 AM BT


Beatrice OUT
Ni hali ya kuzunisha ndani ya Academy ya BSS wiki hii mara baada ya mmoja wa washiriki Beatrice George kutoka kwenye Academy.

Ilikuwa ni huzuni mara baada ya Judge kutangaza kutolewa Beatrice washiriki wenzao waliobaki hawakuweza kujizuia kutoa machozi.

Bella Kombo akizungumzia kutolewa kwa msichana mwenzake pekee aliyekuwa amebaki naye kwenye shindano hilo alisema “ Kusema kweli Beatrice ni mmoja wa washiriki ambaye alikuwa akiongea na kila mtu ndani ya Academy, nasikitika sana kuona ametolewa lakini ndiyo maamuzi ya wananchi”

Chiby “Inasikitisha sana lakini kwenye kila shindano kuna mshindi na kushindwa, hivyo tunawaachi wananchi, Beatrice alikuwa poa sana kwa kila mtu” alisema



Comment on this Highlight