Highlight » Chibby Dayo OUT

Chibby Dayo OUT

Thursday October 06, 2011 4:31 AM BT

image

Chibby Dayo OUT
Chibby Dayo ambaye alikuwa ni mmoja wa washiriki aliyeng’aa sana mwaka huu ametolewa kwenye mashindano baada ya kupata kura Chache.

Ilikuwa ni usiku wenye huzuni kwa Bella Kombo na wapenzi wote wa Chiby Dayo mara baada ya Chiby Dayo kutolewa.

Akitoa Maoni yake Bella Kombo mara baada ya Chiby kutolewa mshiriki huyo wa kike pekee aliyebaki kwenye mtanange huo ambaye inasemekana walikuwa na mahaba mazito ndani ya Academy na Chiby alisema anakubaliana na mtazamo wa wananchi kwani wao ndiyo wenye uamuzi wa mwisho.

“Kusema kweli inasikitisha sana, lakini ndiyo wananchi washaamua, na sote tujuavyo kwenye mashindano yoyote kuna mshindi na mshindwa” alisema Bella

Chiby Dayo alitolewa baada ya wiki iliyopita kuwe kwenye Danger Zone na hivyo kufanya kubaki kwa washiriki wane mpaka sasa.



Comment on this Highlight