Highlight » Muokoe Bella Kombo

Muokoe Bella Kombo

Sunday September 18, 2011 7:07 PM BT


Muokoe Bella Kombo

Kama unakumbuka wiki hii aliyeko kwenye Danger Zone ni Mmoja wa wanadada machachari na mwenye mvuto kabisa katika BSS Second Chance Bella Kombo.

Hivyo basi kama mmoja wa washabiki na wapenzi wa Bella Kombo unatakiwa kumuokoa kwa kumpigia kura mara nyingi uwezavyo ili kuendelea kumbakisha kwenye Academy na kumfanya mshindi wako.

Bella aliingia kwenye Danger Zone wiki iliyopita mara baada ya kuwa na kura chache.

Kumpigia kura Bella andika namba yake ya ushiriki kasha tuma kwenda namba 15747



Comment on this Highlight