Highlight » Safari Inaendelea
Safari Inaendelea
Friday September 30, 2011 7:16 AM BT
Safari inaendelea
Washiriki wa BSS Second Chance bado wako kwenye kipindi cha kuonekana na wananchi kwa kufanya ziara sehemu tofauti za Tanzania.
Akiongea mmoja wa waratibu wa BSS Second Chance 2011 alisema kutakuwa na ziara katika baadhi ya mikoa nchini.
“Napenda kuwaarifu wale wapenzi wa washiriki wetu wa BSS Second chance TOP 5 na wengine ambao itakuwa surprise kwenu watakuwa kwenye ziara baadhi ya mikoa, kwa ratabi zaidi endelea kuwa karibu nasi, pia endeleeni kuwapigia kura washiriki waliobaki” alisema
Ratiba itawajia very soon hapa bongostars.com endelea kufwatilia