Highlight » TOP FOUR’s BSS Second Chance
TOP FOUR’s BSS Second Chance
Thursday October 06, 2011 4:42 AM BT

TOP FOUR’s BSS Second Chance
Hatimaye Academy ya BSS Second Chance wiki hii ilijikuta ikiwa imebakiwa na washiriki wane tu mara ya Chiby Dayo kutolewa kwenye Academy kama ilivyo ada ya Mashindano.
Kwa Maana hiyo BSS Second Chance imebaki na wiki moja ya mwisho kabla ya kufikia Fainali yake inayotarajiwa kufanyika siku za hivi Karibuni.
“Tunatarajia atoke mshiriki mmoja wiki hii na ndipo mtakapotaarifiwa siku ya Fainali” alisema msemaji mkuu wa Kampuni ya Benchmark ambao ndiyo waandaji wa BSS Second Chance.
Endelea kutega sikio siku si nyingi utataarifiwa siku ya Fainali.
