Highlight » Wananchi wasemaje Kuhusu TOP 5

Wananchi wasemaje Kuhusu TOP 5

Tuesday September 20, 2011 1:12 AM BT


Wananchi wasemaje Kuhusu TOP 5
Bongostars.com kama kawaida haikuwa mbali na wananchi pale viwanja vya Mwembe Yanga kuongea na Wananchi kuhusu shindano la BSS Second Chance.

Ali wa Magomeni “Kusema kweli shindano la mwaka huu ni gumu, nadhani hata nyie wenyewe mnaona, mpaka saa hii hakuna mshindi ninayemuona kwasababu wote wamekaza buti mbaya mno”

“E bwana Jamaa wako tight sana, kama Yule Hajji Ramadhan si mchezo nahisi Yule ndiyo kaitumia ipasavyo Second Chance, jamaa anakaza ile mbaya” alisema Doreen wa Mbezi

Shindano la BSS Second Chance limefikia TOP 5 ambapo washiriki watatembea sehemu mbali mbali kufanya maonyesho, Ratiba zaidi kuipata hapa hapa.



Comment on this Highlight