Highlight » Washiriki kujichanganya Maisha Club
Washiriki kujichanganya Maisha Club
Thursday July 29, 2010 2:08 PM BT
Washiriki sita waliobakia kwenye kinyang'anyiro cha BSS Kabla ya kwenda kwenye fainali wanatarajiwa kujichanganya na Watanzania kwa ujumla usiku wa kesho katika ukumbi maarufu wa Maisha Club pale Oysterbay...

Washiriki sita waliobakia kwenye kinyang'anyiro cha BSS Kabla ya kwenda kwenye fainali wanatarajiwa kujichanganya na Watanzania kwa ujumla usiku wa kesho katika ukumbi maarufu wa Maisha Club pale Oysterbay.
Kama mpenzi na mshabiki wa Bongo Star Search na unataka kuwaona na kuongea na washabiki wako unatakiwa kufika Maisha Club utaweza kubadilishana mawazo na kujuwa mengi zaidi kuhusiana na mshiriki wako.
Hii yote ni kuwasogeza karibu zaidi na Ma Super Star wenu wa Bongo.

